Updates
Mwenyekiti wa Jukwaa La Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Bi. Fatma Kange,Ashiriki Futari Maalum yaMayatima,Wajane naWatoto wenye mahitaji Maalum iliyoandaliwa na BAKWATA-JUWAKITA. Mhe Mufti BAKWATA aliweza kufungua Ifatar hiyo kwa DUA. KATIKA IFTAR hiyo baada ya Risala ya JUWAKITA,Mwenyekiti ameahidi kuwasaidia Umoja wa Wanawake wa Kiislam Kutimiza Malengo yao. Jambo la Msingi Kwaniaba ya Viongozi wa Mwajukwaa, …
WANAWAKE DUNIANI WALIHESHIMISHWA KUTOKEA TANZANIA! MAMA DKT GERTRUDE MONGELLA NI ZAO NA TUNU YETU DUNIANI KATIKA NDOTO ILE AMEISHI KUMUONA RAISI WA KWANZA MWANAMKE. NDOTO IMETIMIA! Hongera Dkt Gertrude Mongella kwa tuzo ya Hall Of Fame ya Clouds Media Group. Ulistahili pongezi!!. Makala na Fatma Kange, Pengine habari za nchi hii kubwa barani afrika hazijaandikwa …
Mwenye Mungu ni Mkarimu Hutenda kwa wakati wake . KUTANA NA ENG. LILIAN MWANGOKA MSTAAFU WA TCRA ALIYEAMUA KUSIMAMIA WANAWAKE NA VIWANDA KUPITIA USHIRIKA WA VIWANDA VYA MADIRISHA. Eng. Lilian Mwangoka ni mstaafu wa TCRA ambaye ametumikia eneo lake la kazi kwa muda mrefu  kwa zaidi ya  miaka 30 ambaye amelitumikia Tiafa kwa upendo uliotukuka …
 KUTOKA KUFANYA KAZI NBC BANk HADI KUWA KATIBU WA TAWI WA UWT KATA – KATA YA BUNJU. Mercy Mgole Mukama ni mwanamke wa Makamu ambaye namtumia leo kama kelelezo cha kujenga wasichana wanaojitafuta. Kila kazi unayoifanya iheshimu. Kwani uzoefu wako wa kwanza unaweza kukupa miguu mingine ya kupambana na maisha haya ya kilasiku. Mercy Mukama …
MPANGO MAALUM WA KUCHANGIA KIWANDA CHA UACHAKATAJIWA KARATASI ZILIZOTUMIKA. BELTA KAZIMOTO ANAKARAIBISHA WADAU Vijana wengi wanatafuta ajira. Vijana wengi wanajitafuta Vijana wenye hadhi ya Belta ndio watakaushinda matikisiko wa AJIRA AJIRA HUTENGENEZWA! KIJANA amka na kajitengenenzee ajira yako Ishi ndoto zako! Belta Kazimoto ni binti aliyeamua kuzitafatuta fursa kwenye mazingira na kujisomea ujuzi wa elimu …
Mwenyezi Mungu ni Mkarimu amtumainiye Mwenyezi Mungu Hafi Maskini MJUE DIWANI ANNA LUKINDO WA KATA YA MBEZI JUU- JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKA MUUZA DUKA HADI UDIWANI! Diwani Anna ndio jina lake maarufu kutoka katika kata ya Mbezi Juu! Ukisikia Mhe Diwani Anna ujue ni Diwani wa Kata ya Mbezi Juu. Mbezi juu ni kata …
MAMA MIA SOKO – WAUNGANISHANA NGUVU NA GS1 TANZANIA KUPELEKA BIDHAA ZA WAZALISHAJI AFRIKA NA DUNIANI KIMTANDAO. Mama Mia soko ni SOKO Mtandaoni. Utauza bidhaa yoyote kidigitali. Mpango huu utamsaidia mfanyabiashara mzalishaji hasa mwanamke! Wanawake wote wazalishaji mpango huu ni wenu Tanzania yetu ni nchi inayokuwa kwa kasi sana katika mendeleo ya uchumi wake na …
MAMA MIA SOKO TUMAINI JIPYA KWA WANAWAKE SOKO MTANDAONI- SOKO LA KIDIGITALI Read More »
MWANA DADA EUTROPIA JAMES AFANYA MAPINDUZI KWENYE MAFUTA YA NYWELE NCHINI TANZANIA Wanawake wa Tanzania ni Moto !!!! wanasema moto fire! Moto wa kuotea mbali kwa Mipango, Akili na Mikakati Ukimkuta mwanamke wa Kitanzania amejitambua UTAMPENDA kweli na vile  hii lugha yetu ya Kiswahili ambayo imefanya watu wawe na uwezo mkubwa wa mawasiliano imefungua akili …
MWANA DADA EUTROPIA JAMES AFANYA MAPINDUZI KWENYE MAFUTA YA NYWELE NCHINI TANZANIA Read More »
Mwenyezi Mungu ni Mkarimu sana Kila afanyalo binadamu ni Ibada GS1 TANZANIA BARCODES, QR CODES NA WANAWAKE GS1 Tanzania imaejipanga kusaidia kukuza biashara za wanawake nchi nzima. Kuanzia sasa kila mwanamke ambaye angependa kutangaza biashara zake anaweza kuwasiliana na GS1 Tanzania kwa utaratibu maalum. Mipango sasa ni kuunganisha GS1 Tanzania na dhana ya Buy Tanzania …
Nimekuwa nikipokea taarifa mbalimbai za Sherehe za wanawake kutoka mikoani, hata hivyo katika makala hii ya leo nawaletea taarifa ya mkoa wa Mwanza yaliyojiri!! Ni kweli Mwanza hawanaga kazi mbovu! Matukio niliyoletewa kama taarifa kwa mwenyekiti wa Jukwaa La Taifa yalishangaza umati wa watu waliojitokeza katika kusherekea siku ya wanawake duniani. Tafsiri ya mkusanyiko mkubwa …
Mwenyezi Mungu ni Mwaminifu sana Kila jambo alifanyalo binadam ni Ibada. MKOA WA DAR ES SALAAM WAZINDUA JUKWAA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KWA KISHINDO Uzinduzi wa Jukwaa la Mkoa wa Dar Es Saalam ni kielelezo kwamba sasa sekta binafsi ya Wanawake inakwenda kujipanga upya. Jukwaa La Mkoa wa Dar Es Salaam ndo kiunganishi cha kazi zote …
MKOA WA DAR ES SALAAM WAZINDUA JUKWAA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KWA KISHINDO. Read More »
Mwenyezi Mungu ni Mwaminifu sana Kila jambo alifanyalo binadam ni Ibada. Imeandikwa kwamba, Pepo zetu zipo chini ya nyayo za mama zetu” Mpendwa msomaji wa Makala hizi za wanawake na maendeleo yao, ningepeda kukujulisha kwamba, katika kuundwa kwa majukwaa ambayo ni kazi kubwa aliyoifanya Mhe Rais Dkt Mama Samia Suluhu Hassan, muundo wake unazingita muongozo …
SIKU YA MWANAMKE DUNIANI MKOANI SHINYANGA LEO – WILAYA YA USHETU KUFANYA KWELI. Read More »
Mwenyezi Mungu ni Mwaminifu sana Amtumainiye Mwenyezi Mungu Hafi Maskini. “Imeandikwa kwamba pepo yako ipo katika nyayo za mama zetu” Kama unavyofahamu wadau na wananchi wa Mkoa wa Kagera, Nshomiles! Basi mwenyekiti wangu Bi. Leah Gozbert John Mwenyekiti wa Jukwaa la uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Mkoani Kagera alinipigia simu na kunipa taarifa za maandalizi ya Sherehe …
KAGERA KUTIA FORA KUELEKEA SHEREHE ZA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI HAPO KESHO Read More »
Mwenyezi Mungu ni Mwaminifu sana Wanasema na imeandikwa “Pepo Zetu zipo katika Miguu ya Mama Zetu” HONGERENI KINA MAMA WA TANZANIA HONGERENI KINA MAMA WA TANGA KWA MAANDALIZI MAKUBWA YA SHEREHE ZA SIKU YA MWANAMKE MKOANI HUMO! Naendelea kupokea taarifa mbalimbali kutoka kwa wenyeviti wa Mikoa wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi na maandalizi ya …
UMMY MWALIM KUZIPAMBA SHEREHE ZA SIKU YA MWANAMKE MKOANI TANGA Read More »
Mwenyezi Mungu ni Mwaminifu sana HONGERENI KINA MAMA WA TANZANIA HONGERENI KINA MAMA WA DODOMA Naendelea kupitia matangazo mbali ya Sherehe kubwa za Siku ya Mwanamke Duniani hapa Tanzania ambazo mwaka huu zimekuwa na msisimko mkubwa sana na ambayo kwayo, utaweza kuona namna wanawake walivyojipanga nchi nzima. Hiki ni Kishindo cha MAMA SAMIA! Kwa Mkoa …
SHEREHE ZA SIKU YA WANAWAKE DODOMA KUPABWA NA MHE WAZIRI MKUU. Read More »
Mwenyezi Mungu ni Mkarimu sana!!!Sisi Binadamu ni lazima kila uchao tumshukuru kwa kila jambo. Sijakutana na wasomaji wa makala zangu muda mrefu saana. Mwaka Mzima wa Mwaka jana nilikuwa naendelea na majukumu mengine kwani mambo mengi mazuri yalinitokea, pia kama tujuavyo binadamu changamoto ni sehemu ya maisha yetu, na ni UTU pia, bila changamto hauwezi …
Katika mfululizo wa makala zangu na wanawake wa Tanzania juu ya biashara, uchumi na ustawi wao, leo katika andiko hili dogo nawaletea mfumo wa Barcodes na wapi pakuanzia ukitaka kupata huduma za Barcodes nchini? Wanawake mbalimbali ambao wamepata taarifa sahIhi juu ya mfumo wa barcodes wameutumia na kukuza biashara zao mfano wa wanawake hao ni …
MFUMO WA HUDUMA YA BARCODES KWA WANAWAKE WENYE VIWANDA -NCHINI Read More »
MTANZANIA DIANA MAGESA awatoa wanawake kimasomaso kwa kushiriki maenesho maarufu -“International Women Show” yaliyofanyika nchini Canada kuanzaia tarehe 3 hadi 11 May 2022. Maonesho hayo yanayofanyika kila mwaka, mwaka huu yalitimiza miaka 21 toka kufanyika katika jiji la Toronto Canada. Kwa Mtanzania Diana Magesa kushiriki katika maonesho hayo anafungua rasmi pazia kwa wazalishaji wengi kujipanga …
MTANZANIA- BI. DIANA MAGESA ASHIRIKI MAONESHO YA WOMEN INTERNATIONAL SHOW- CANADA Read More »
Miaka 10 katika Ujasiriamali wa Batiki na Tuzo za Jasiri Awards 2022 na Mhe. Matilda Lugeha. Namuita Mhe kwani nahisi ni Kiongozi katika Tasnia hii ya wanawake na ujasirimali wa Batiki. Wanawake wenzangu napenda kusema hivi, Kujitambua ni dawa! Mwanamke aliyejitambua mahali popote huwa anapata nafasi ya kupenya. Matilda Lugeha ni miongoni mwa wanawake niliokutana …
MJASIRIAMALI MATILDA LUGEHA ASHINDA TUZO- JASIRI AWARDS-2022. Read More »
Karibu sana kwenye mfululizo wa makala zangu ambazo zinajikita zaidi katika ulimwengu wa wanawake. Ulimwengu nilioamua kuufanyia kazi na kuiishi. Hatua mmoja na muhimu sana ambayo nimeona ni dadavue leo ni hili la “Wanawake na Mkwamo”. Wanawake sisi namna tulivyoumbwa ni watu tunaongozwa na hisia, hisia zetu zinatupeleka katika kuyaendea mambo yote yanayotuzunguka kwa hisia …
MUONGOZO KWA WANAWAKE WALIOKWAMA! Vuka kizingiti chako Leo! TAMBUA. Read More »
TWEA tumejikita katika kutoa kozi maalum ya Uongozi wa Kitaasisi. Unajua toka harakati za kumkomboa mwanamke zimeanza nchini na duniani kote akina mama wamekuwa watu wakuchangamkia fursa. Wengi wameishia kufungua kampuni zao. Kikubwa kinachofanyika sasa kupitia TWEA AFRICA-ni kufundisha uongozi wa kuendesha taasisi zao. Kuwa na kampuni ni mzigo mwengine tumejitishwa yataka mbinu sahihi za …
Leo kulikuwa na kikao maalum cha wanawake kilichoitishwa kwa ajili ya kuzungumzia maendeleo ya wanawake Tanzania. Kikao hicho, kilihusisha Wataalamu toka Wizara yetu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum pamoja na viongozi wote wanawake chini ya TWCC. Tunamshukuru sana Mwenyekiti wa “Tanzania Women Chambers Of Commerce” kwa kuitisha kikao hicho adhimu kwa …
Wanawake wa Tanzania na Dhana ya ‘High level Women’. Read More »
Kuna vitu hata mimi navitamani ningevijua nikiwa na miaka 17 hivi! Misingi ya maisha na fedha. Ni kama elimu hii ni muhimu kama somo la Biologia mmh! Kwani hutoa misingi ya maisha yetu ya dunia na utajiri-au Fedha. Naamini vitabu vinasehemu kubwa sana ya kumtengeneza mtu katika muogozo fulani. Leo katika makala yangu hii nimejikita …
Tabia za kupunguza ili kuwa na mali au Fedha kwa wanawake Read More »
“SIKU YA NYUKI DUNIANI”-Tarehe 21 Mei 2022 serikali imepanga kuendesha maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani. Katika kilele hicho, kulingana na Tangazo lililotumwa Mgeni rasmi ni Mhe Mizengo Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi naweza kumuona kama Mzee wa NYUKI! Alituhamasisha sana kuelewa mdudu nyuki hapa nchini. …
Kama kawaida leo katika andiko langu hili, nazungumzia dhana nzima ya Utafutaji wa Fedha kwa ajili ya Bunifu au Jitihada yeyote uliyonayo. Na kama mnavyojua namlenga mwanamke. Wanawake tunajijua sisi ni watu wa mambo mengi jamani. Tuna mambooooo! Tuko na mambo yetu Lukuki, hebu nicheke kidogo maanake kama movie vile ukimfikiria mwanamke! Kazi kubwa sana! …
Dhana ya kutafuta fedha za ubunifu au Jitihada kwa wanawake. Read More »
Wanawake na Agenda Zetu! Fullshangwe! Mpendwa msomaji wangu wa makala hizi fupi fupi, makala ambazo naona heri niziandike ili zijenge na wengine. Kwa kifupi mfululizo ya makala zangu zaidi uakwenda kwenye ulimwengu wangu wa wanawake! nilioamua tu kuufanyia kazi! Kuutumikia! Ulimwengu wenye hazina kubwa sana katika ulimwengu tunaoishi. Kama kila mwanyamke angejua kuwa yeye ni …
Leo nimeona kidogo kama nimechokoza kwenye ukurasa wangu wa Instagram Juu ya nafasi ya Royal Tour na wanawake wa Tanzania. Mhe Raisi mama Samia Suluhu Hassan kafanya jambo kubwa sana nchini na Duniani kwa ujumla wake. Katutengenezea jambo ambalo kwa wenye macho hawaambiwi Tazama. Kikubwa nimejipa nafasi ya kuwajengea uwezo wanaweke wa Tanzania waliopo kwenye …
Leo katika segment ya ISHI Happniess for women, nimetohoa motivation quote mmoja mtandaoni ikisema ” A happy life doen.t just find you, you make it yourself” hii motivation imeandikwa na ‘”Success Minded”. Na kama unavyofahamu ukurasa huu wa TWEA umejikita kwa wanawake na mambo yao, na vile tuna segment ya ISHI ambayo inahamasisha FURAHA kwa …
Furaha ya maisha haikutafuti bali unaitengeneza. ISHI Read More »
Watu wanazidi kupata uelewa na maendeleo hayapigi hodi, maendeleo huchochewa zaidi na hatua jamii inayopiga kila mara. Mwaka huu TWEA ikiangazia kuhusu wanawake vinara wanaofanya mambo tofauti na ya kimaendeleo inakutana na mwana dada lidhtiness ambaye ameona ipo haja ya kuanzisha tuzo maalumu za kuwatambulisha SMEs wanaothubutu pamoja na taasisi zinachochea maendeleo ya SMEs hao. …
Mkurugenzi wa Masoko wa UTT ndugu Daudi Mbaga ameonesha nia yake ya kuwajengea uwezo wanawake wa Ushirika wa viwanda vya wanawe na kuona namna watakavyotumia fursa hiyo katika kumjengea kila mwanamke uwezo ili kupata mitaji endelevu. Mfuko wa UTT unalenga kuhusisha masuala ya kifedha ili kuweza kuwafikia makundi yote nchini, hususani ya akina mama. katika …
UTT yapania kufanya kazi na Ushirika wa Viwanda vya Wanawake- MADIRISHA nchini. Read More »
Chama cha Ushirika wa Viwanda cha Wanawake cha MADIRISHA, kimekuwa na wakati mzuri katika kongamano la pili la utafiti wa ushirika uliomalizika leo mkoani Dodoma. Akiripoti kutoka kwenye kongamano hilo, Afisa habari wa MADIRISHA Bi Anna Mary Leone Kavishe anasema kwamba, nafasi waliyopewa ushirika huo, katika mkutano huo ulikuwa ni wa kipekee na wenye kutia …
Taasisi ya uwezeshaji wananchi kiuchumi NEEC imeandaa maonesho ya mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi nchini ya tano. Kupitia maonesho hayo taasisi ya GS1 Tanzania nayo imealikwa kushiriki. Ushiriki wa GS1 Tanzania katika maonesho hayo unatija kubwa sana sio tu kwa viwanda pekee bali kwa wazalishaji wanawake wa Mkoa wa Morogoro ambao wanaweza kupata huduma ya …
Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini (TCDC) chini ya Uongozi wa Mrajisi wa Tume, Ndugu Dr Benson Ndiege kwa mwaka wa pili mfululizo umekuwa ukiandaa Kongamano la Utafiti juu ya maendeleo mbalimbali ya ushirika nchini. Kongamano hilo hutumika kama sehemu ya kutoa mrejesho ya mafaniko mbalimbali yanayopatikana katika kujenga ushirika nchini Tanzania. Vyama vyote vya …
Ushirika wa Viwanda vya Wanawake nchini washiriki kongamano la Ushirika- TCDC Read More »
MAKALA YA COTONOU, BENIN NA RAMADHANI NGODA wa Azam Sport. Kila nchi ina utamaduni wake. Nimebahatika sana leo kukutana na makala ya michezo ya AZAM Sport. ikiangazia taarifa za soka kutoka nchi ya Benin. Jambo lililonivutia ni utangulizi wa makala yenyewe. Utangulizi wa makala hizi ambazo zimetanguliwa na utamaduni wa chakula na watu wa Benini …
Waafrika ni taifa kubwa sana duniani lenye tamaduni zake. Katika mambo mengi ambayo huwaunganisha waafirika ni Uoto wa Asili, na neema kubwa sana ya ardhi yenye rutuba katika kila eneo la bara hili. Hata hivyo ipo alama ambayo ni kama bendera ya waafrika mahali popote duniani wanapozungumziwa. Alama hiyo ni urembo wa Shanga ambao kwa …
Mwenyekiti wa Ushirika wa viwanda na ushirika vya wanawake pamoja na wanachama wake wote wameonesha nia yao kubwa kuona viwanda vichache vinaweza kujengwa. Bidhaa za ushirika wa madirisha zimeanza kujitokeza katika sekta mbalimbali za ushirika wanazo shiriki kama Batiki, Asali, Mlonge, Mchele, Maharage, Samaki, Shanga na Urembo nk. Maushirika haya yanalenga katika kujenga nafasi ya …
VIWANDA VYA USHIRIKA WA WANAWAKE WA VIWANDA KUJENGWA Read More »
Mkoa wa Dar Es Salaam umejizatiti katika kujenga kizazi kipya cha wanawake wazalishaji ambao watazalisha kwa Ushirika. Kikao kazi kilichofanyika havi karibuni kiliazimia mambo mengi ya msingi na kukubaliana kwamba ushirika ndio nguvu ya mnyonge. Viongozi wote wanaosimamia jitihada mbalimbali za maendeleo ya wanawake mkoa wa DSM walishirikishwa katika kikoa hicho. Tumefarijika kwa Ofisi ya …
Kikao kazi cha Jukwaa la Wanawake Mkoa wa DSM 2022 chafana. Read More »
Kitabu murua kwa ajili ya watu kujisomea cha simulizi za lukundo sasa kinapatika kwa njia ya bei ya jumla na rejareja. Kitabu hiki kinapatika katika ofisi za TWEA zilizopo Kunduchi Beach, Mtaa wa Kilongawima Nyumba na 93. Kitabu cha Simulizi za Lukundo ni kitabu kilishojitambulisha kama kitabu cha kiafrika chenye nia ya kuonesha neema mbalimbali …
KITABU CHA SIMULIZI ZA LUKUNDO KINAPATIKANA SASA Read More »
Wanawake Mkoani Geita waanzisha Ushirika wa Ufungashaji Mchele Tume ya Ushirika nchini imeamua kwa dhati kulivalua njuga suala la wanawake na viwanda kwa kuweza kufadhili mafunzo maalumu yaliyofanyika mkoani Geita kwa ajili ya kuwajengea uwezo wanawake wa mkoa wa Geita. Kama mtaalamu wa ushirika huu mpya wa viwanda vya wanawake tuliweza kuhamasisha na kufundisha zaidi …
Wanawake Mkoani Geita waanzisha Ushirika wa Kufungasha mchele Read More »
Wanawake wengi walihitaji elimu kubwa sana ya kuwatoa kwenye mashinikizo ambayo mengi yametokana na mfumo wa kimaisha uliopo. Mafunzo ya TWEA ya TWEA Personal Development Training hutolewa kwa vikundi au mtu mmoja mmoja katika kupata mwanga wa mambo ya msingi ambayo yanahita wanawake kutoka kwenye mazoea ya kimaisha ili waweze kuziona fursa na kuzitambua na …
TWEA-Personal Development Training na Wanawake Tanzania Read More »