GS1 TANZANIA BARCODES, QR CODES NA WANAWAKE

Mwenyezi Mungu ni Mkarimu sana

Kila afanyalo binadamu ni Ibada

GS1 TANZANIA BARCODES, QR CODES NA WANAWAKE

GS1 Tanzania imaejipanga kusaidia kukuza biashara za wanawake nchi nzima. Kuanzia sasa kila mwanamke ambaye angependa kutangaza biashara zake anaweza kuwasiliana na GS1 Tanzania kwa utaratibu maalum.

Mipango sasa ni kuunganisha GS1 Tanzania na dhana ya Buy Tanzania Buy 620 ambayo inalenga kuhakikisha kila bidhaa inayozalishwa nchini inakuwa na barcodes za Tanzania. Mfumo huu wa kielectronic unalenga kusaidia biashara za wanawake kukua.

Kupitia GS1 Tanzania breakfast meeting, baadhi ya bidhaa za wanawake zenye Barcodes ya GS1 Tanzania zimeweza kuzinduliwa. Balozi wa GS1 Tanzanai atatumika kutangaza bidhaa zenye barcodes kwa ajili ya  kuongeza za ari za wadau na wanachi kutumia Barcodes  za Tanzania.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *