Fatma Kange

MKOA WA DAR ES SALAAM WAZINDUA JUKWAA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KWA KISHINDO.

Mwenyezi Mungu ni Mwaminifu sana Kila jambo alifanyalo binadam ni Ibada. MKOA WA DAR ES SALAAM WAZINDUA JUKWAA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KWA KISHINDO Uzinduzi wa Jukwaa la Mkoa wa Dar Es Saalam ni kielelezo kwamba sasa sekta binafsi ya Wanawake inakwenda kujipanga upya. Jukwaa La Mkoa wa Dar Es Salaam ndo kiunganishi cha kazi zote …

MKOA WA DAR ES SALAAM WAZINDUA JUKWAA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KWA KISHINDO. Read More »

SIKU YA MWANAMKE DUNIANI MKOANI SHINYANGA LEO – WILAYA YA USHETU KUFANYA KWELI.

Mwenyezi Mungu ni Mwaminifu sana Kila jambo alifanyalo binadam ni Ibada. Imeandikwa kwamba, Pepo zetu zipo chini ya nyayo za mama zetu” Mpendwa msomaji wa Makala hizi za wanawake na maendeleo yao, ningepeda kukujulisha kwamba, katika kuundwa kwa majukwaa ambayo ni kazi kubwa aliyoifanya Mhe Rais Dkt Mama Samia Suluhu Hassan, muundo wake unazingita muongozo …

SIKU YA MWANAMKE DUNIANI MKOANI SHINYANGA LEO – WILAYA YA USHETU KUFANYA KWELI. Read More »

KAGERA KUTIA FORA KUELEKEA SHEREHE ZA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI HAPO KESHO

Mwenyezi Mungu ni Mwaminifu sana Amtumainiye Mwenyezi Mungu Hafi Maskini. “Imeandikwa kwamba pepo yako ipo katika nyayo za mama zetu” Kama unavyofahamu wadau na wananchi wa Mkoa wa Kagera, Nshomiles! Basi mwenyekiti wangu Bi. Leah Gozbert John Mwenyekiti wa Jukwaa la uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Mkoani Kagera  alinipigia simu na kunipa taarifa za maandalizi ya Sherehe …

KAGERA KUTIA FORA KUELEKEA SHEREHE ZA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI HAPO KESHO Read More »

UMMY MWALIM KUZIPAMBA SHEREHE ZA SIKU YA MWANAMKE MKOANI TANGA

Mwenyezi Mungu ni Mwaminifu sana Wanasema na imeandikwa “Pepo Zetu zipo katika Miguu ya Mama Zetu” HONGERENI KINA MAMA WA TANZANIA HONGERENI KINA MAMA WA TANGA KWA MAANDALIZI MAKUBWA YA SHEREHE ZA SIKU YA MWANAMKE MKOANI HUMO! Naendelea kupokea taarifa mbalimbali kutoka kwa wenyeviti wa Mikoa wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi na maandalizi ya …

UMMY MWALIM KUZIPAMBA SHEREHE ZA SIKU YA MWANAMKE MKOANI TANGA Read More »

SHEREHE ZA SIKU YA WANAWAKE DODOMA KUPABWA NA MHE WAZIRI MKUU.

Mwenyezi Mungu ni Mwaminifu sana HONGERENI KINA MAMA WA TANZANIA HONGERENI KINA MAMA WA DODOMA Naendelea kupitia matangazo mbali ya Sherehe kubwa za Siku ya Mwanamke Duniani hapa Tanzania ambazo mwaka huu zimekuwa na msisimko mkubwa sana na ambayo kwayo, utaweza kuona namna wanawake walivyojipanga nchi nzima. Hiki ni Kishindo cha MAMA SAMIA! Kwa Mkoa …

SHEREHE ZA SIKU YA WANAWAKE DODOMA KUPABWA NA MHE WAZIRI MKUU. Read More »

MAJUKWAA YA WANAWAKE KUWASHA MOTO NCHI NZIMA

Mwenyezi Mungu ni Mkarimu sana!!!Sisi Binadamu ni lazima kila uchao tumshukuru kwa kila jambo. Sijakutana na wasomaji wa makala zangu muda mrefu saana. Mwaka Mzima wa Mwaka jana nilikuwa naendelea na majukumu mengine kwani mambo mengi mazuri yalinitokea, pia kama tujuavyo binadamu changamoto ni sehemu ya maisha yetu, na ni UTU pia, bila changamto hauwezi …

MAJUKWAA YA WANAWAKE KUWASHA MOTO NCHI NZIMA Read More »

SHEKHA NA BARCODES

MFUMO WA HUDUMA YA BARCODES KWA WANAWAKE WENYE VIWANDA -NCHINI

Katika mfululizo wa makala zangu na wanawake wa Tanzania juu ya biashara, uchumi na ustawi wao, leo katika andiko hili dogo nawaletea mfumo wa Barcodes na wapi pakuanzia ukitaka kupata huduma za Barcodes nchini? Wanawake mbalimbali ambao wamepata taarifa sahIhi juu ya mfumo wa barcodes wameutumia na kukuza biashara zao mfano wa wanawake hao ni …

MFUMO WA HUDUMA YA BARCODES KWA WANAWAKE WENYE VIWANDA -NCHINI Read More »

MTANZANIA- BI. DIANA MAGESA ASHIRIKI MAONESHO YA WOMEN INTERNATIONAL SHOW- CANADA

MTANZANIA DIANA MAGESA awatoa wanawake kimasomaso kwa kushiriki maenesho maarufu -“International Women Show” yaliyofanyika nchini Canada kuanzaia tarehe 3 hadi 11 May 2022. Maonesho hayo yanayofanyika kila mwaka, mwaka huu yalitimiza miaka 21 toka kufanyika katika jiji la Toronto Canada. Kwa Mtanzania Diana Magesa kushiriki katika maonesho hayo anafungua rasmi pazia kwa wazalishaji wengi kujipanga …

MTANZANIA- BI. DIANA MAGESA ASHIRIKI MAONESHO YA WOMEN INTERNATIONAL SHOW- CANADA Read More »

MATILDA

MJASIRIAMALI MATILDA LUGEHA ASHINDA TUZO- JASIRI AWARDS-2022.

Miaka 10 katika Ujasiriamali wa Batiki na Tuzo za Jasiri Awards 2022 na Mhe. Matilda Lugeha. Namuita Mhe kwani nahisi ni Kiongozi katika Tasnia hii ya wanawake na ujasirimali wa Batiki.  Wanawake wenzangu napenda kusema hivi, Kujitambua ni dawa! Mwanamke aliyejitambua mahali popote huwa anapata nafasi ya kupenya. Matilda Lugeha ni miongoni mwa wanawake niliokutana …

MJASIRIAMALI MATILDA LUGEHA ASHINDA TUZO- JASIRI AWARDS-2022. Read More »

Industrial Park

MUONGOZO KWA WANAWAKE WALIOKWAMA! Vuka kizingiti chako Leo! TAMBUA.

Karibu sana kwenye mfululizo wa makala zangu ambazo zinajikita zaidi katika ulimwengu wa wanawake. Ulimwengu nilioamua kuufanyia kazi na kuiishi. Hatua mmoja na muhimu sana ambayo nimeona ni dadavue leo ni hili la “Wanawake na Mkwamo”. Wanawake sisi namna tulivyoumbwa ni watu tunaongozwa na hisia, hisia zetu zinatupeleka katika kuyaendea mambo yote yanayotuzunguka kwa hisia …

MUONGOZO KWA WANAWAKE WALIOKWAMA! Vuka kizingiti chako Leo! TAMBUA. Read More »