Fatma Kange

TWEA AFRICA

TWEA- INAKUKARIBISHA KWENYE-MAFUNZO YA WANAWAKE NA UONGOZI WA USIMAMIZI WA MAKAMPUNI -WANAZOENDESHA- TAREHE 30.06.2022.

TWEA tumejikita katika kutoa kozi maalum ya Uongozi wa Kitaasisi. Unajua toka harakati za kumkomboa mwanamke zimeanza nchini na duniani kote akina mama wamekuwa watu wakuchangamkia fursa. Wengi wameishia kufungua kampuni zao. Kikubwa kinachofanyika sasa kupitia TWEA AFRICA-ni kufundisha uongozi wa kuendesha taasisi zao. Kuwa na kampuni ni mzigo mwengine tumejitishwa yataka mbinu sahihi za …

TWEA- INAKUKARIBISHA KWENYE-MAFUNZO YA WANAWAKE NA UONGOZI WA USIMAMIZI WA MAKAMPUNI -WANAZOENDESHA- TAREHE 30.06.2022. Read More »

HIGH LEVEL

Wanawake wa Tanzania na Dhana ya ‘High level Women’.

Leo kulikuwa na kikao maalum cha wanawake kilichoitishwa kwa ajili ya kuzungumzia maendeleo ya wanawake Tanzania. Kikao hicho, kilihusisha Wataalamu toka Wizara yetu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum pamoja na viongozi wote wanawake chini ya TWCC. Tunamshukuru sana Mwenyekiti wa “Tanzania Women Chambers Of Commerce” kwa kuitisha kikao hicho adhimu kwa …

Wanawake wa Tanzania na Dhana ya ‘High level Women’. Read More »

Tabia za kupunguza ili kuwa na mali au Fedha kwa wanawake

Kuna vitu hata mimi navitamani ningevijua nikiwa na miaka 17 hivi! Misingi ya maisha na fedha. Ni kama elimu hii ni muhimu kama somo la Biologia mmh! Kwani hutoa misingi ya maisha yetu ya dunia na utajiri-au Fedha. Naamini vitabu vinasehemu kubwa sana ya kumtengeneza mtu katika muogozo fulani. Leo katika makala yangu hii nimejikita …

Tabia za kupunguza ili kuwa na mali au Fedha kwa wanawake Read More »

Mgeni Rasmi

SIKU YA NYUKI DUNIANI NA MWANAMKE

“SIKU YA NYUKI DUNIANI”-Tarehe 21 Mei 2022 serikali imepanga kuendesha maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani. Katika kilele hicho, kulingana na Tangazo lililotumwa Mgeni rasmi ni Mhe Mizengo Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi naweza kumuona kama Mzee wa NYUKI! Alituhamasisha sana kuelewa mdudu nyuki hapa nchini. …

SIKU YA NYUKI DUNIANI NA MWANAMKE Read More »

Mwanaidi Matengo

Dhana ya kutafuta fedha za ubunifu au Jitihada kwa wanawake.

Kama kawaida leo katika andiko langu hili, nazungumzia dhana nzima ya Utafutaji wa Fedha kwa ajili ya Bunifu au Jitihada yeyote uliyonayo. Na kama mnavyojua namlenga mwanamke. Wanawake tunajijua sisi ni watu wa mambo mengi jamani. Tuna mambooooo! Tuko na mambo yetu Lukuki, hebu nicheke kidogo maanake kama movie vile ukimfikiria mwanamke! Kazi kubwa sana! …

Dhana ya kutafuta fedha za ubunifu au Jitihada kwa wanawake. Read More »

Hautoweza kubadilika kama hautojua kama hauko sahihi kwa unayoyafanya ‘ You can’t improve if you don’t know what you are doing wrong-Deep Note

Wanawake na Agenda Zetu! Fullshangwe! Mpendwa msomaji wangu wa makala hizi fupi fupi, makala ambazo naona heri niziandike ili zijenge na wengine. Kwa kifupi mfululizo ya makala zangu zaidi uakwenda kwenye ulimwengu wangu wa wanawake! nilioamua tu kuufanyia kazi! Kuutumikia! Ulimwengu wenye hazina kubwa sana katika ulimwengu tunaoishi. Kama kila mwanyamke angejua kuwa yeye ni …

Hautoweza kubadilika kama hautojua kama hauko sahihi kwa unayoyafanya ‘ You can’t improve if you don’t know what you are doing wrong-Deep Note Read More »

Royal Tour

“ROYAL TOUR”- NA WANAWAKE WA TANZANIA

Leo nimeona kidogo kama nimechokoza kwenye ukurasa wangu wa Instagram Juu ya nafasi ya Royal Tour na wanawake wa Tanzania. Mhe Raisi mama Samia Suluhu Hassan kafanya jambo kubwa sana nchini na Duniani kwa ujumla wake. Katutengenezea jambo ambalo kwa wenye macho hawaambiwi Tazama. Kikubwa nimejipa nafasi ya kuwajengea uwezo wanaweke wa Tanzania waliopo kwenye …

“ROYAL TOUR”- NA WANAWAKE WA TANZANIA Read More »

Furaha ya maisha haikutafuti bali unaitengeneza. ISHI

Leo katika segment ya ISHI Happniess for women, nimetohoa motivation quote mmoja mtandaoni ikisema ” A happy life doen.t just find you, you make it yourself” hii motivation imeandikwa na ‘”Success Minded”. Na kama unavyofahamu ukurasa huu wa TWEA umejikita kwa wanawake na mambo yao, na vile tuna segment ya ISHI ambayo inahamasisha FURAHA kwa …

Furaha ya maisha haikutafuti bali unaitengeneza. ISHI Read More »

AWARD

TUZO JASIRI AWARDS 2022 ZAFANA- MWANZA

Watu wanazidi kupata uelewa na maendeleo hayapigi hodi, maendeleo huchochewa zaidi na hatua jamii inayopiga kila mara. Mwaka huu TWEA ikiangazia kuhusu wanawake vinara wanaofanya mambo tofauti na ya kimaendeleo inakutana na mwana dada lidhtiness ambaye ameona ipo haja ya kuanzisha tuzo maalumu za kuwatambulisha SMEs wanaothubutu pamoja na taasisi zinachochea maendeleo ya SMEs hao. …

TUZO JASIRI AWARDS 2022 ZAFANA- MWANZA Read More »

Daudi UTT

UTT yapania kufanya kazi na Ushirika wa Viwanda vya Wanawake- MADIRISHA nchini.

Mkurugenzi wa Masoko wa UTT ndugu Daudi Mbaga ameonesha nia yake ya kuwajengea uwezo wanawake wa Ushirika wa viwanda vya wanawe na kuona namna watakavyotumia fursa hiyo katika kumjengea kila mwanamke uwezo ili kupata mitaji endelevu. Mfuko wa UTT unalenga kuhusisha masuala ya kifedha ili kuweza kuwafikia makundi yote nchini, hususani ya akina mama. katika …

UTT yapania kufanya kazi na Ushirika wa Viwanda vya Wanawake- MADIRISHA nchini. Read More »