USHIRIKA WA WANAWAKE WA – MADIRISHA WAWA KIVUTIO KATIKA KONGAMANO LA USHIRIKA LILIOANDALIWA NA TCDC- DODOMA
Chama cha Ushirika wa Viwanda cha Wanawake cha MADIRISHA, kimekuwa na wakati mzuri katika kongamano la pili la utafiti wa ushirika uliomalizika leo mkoani Dodoma. Akiripoti kutoka kwenye kongamano hilo, Afisa habari wa MADIRISHA Bi Anna Mary Leone Kavishe anasema kwamba, nafasi waliyopewa ushirika huo, katika mkutano huo ulikuwa ni wa kipekee na wenye kutia …








