TWEA Updates

MWENYEKITI WA MAJUKWAA YA WANAWAKE KUFANIKISHA UANZISHWAJI WA MFUKO WA MAENDELEO YA WANAWAKE WA KIISLAM NCHINI TANZANIA

Mwenyekiti wa Jukwaa La Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Bi. Fatma Kange,Ashiriki Futari Maalum yaMayatima,Wajane naWatoto wenye mahitaji Maalum iliyoandaliwa na BAKWATA-JUWAKITA. Mhe Mufti BAKWATA aliweza kufungua Ifatar hiyo kwa DUA. KATIKA IFTAR hiyo baada ya Risala ya JUWAKITA,Mwenyekiti ameahidi kuwasaidia Umoja wa Wanawake wa Kiislam Kutimiza Malengo yao. Jambo la Msingi Kwaniaba ya Viongozi wa Mwajukwaa, …

MWENYEKITI WA MAJUKWAA YA WANAWAKE KUFANIKISHA UANZISHWAJI WA MFUKO WA MAENDELEO YA WANAWAKE WA KIISLAM NCHINI TANZANIA Read More »

WANAWAKE DUNIANI WALIHESHIMISHWA KUTOKEA TANZANIA! DKT GETRUDE MONGELA NI ZAO NA TUNU TOKA TANZANIA – DUNIANI! HONGERA SANA KWA TUZO YA HALL OF FAME YA CLOUDS MEDIA GROUP.

WANAWAKE DUNIANI WALIHESHIMISHWA KUTOKEA TANZANIA! MAMA DKT GERTRUDE MONGELLA NI ZAO NA TUNU YETU DUNIANI KATIKA NDOTO ILE AMEISHI KUMUONA RAISI WA KWANZA MWANAMKE. NDOTO IMETIMIA! Hongera Dkt Gertrude Mongella  kwa tuzo ya Hall Of Fame ya Clouds Media Group. Ulistahili pongezi!!. Makala na Fatma Kange, Pengine habari za nchi hii kubwa barani afrika hazijaandikwa …

WANAWAKE DUNIANI WALIHESHIMISHWA KUTOKEA TANZANIA! DKT GETRUDE MONGELA NI ZAO NA TUNU TOKA TANZANIA – DUNIANI! HONGERA SANA KWA TUZO YA HALL OF FAME YA CLOUDS MEDIA GROUP. Read More »

KUTANA NA ENG. LILIAN MWANGOKA MSTAAFU WA TCRA ALIYEAMUA KUSIMIMA WANAWAKE WA VIWANDA VYA USHIRIKA KUPITIA USHIRIKA WA VIWANDA VYA WANAWAKE VYA VINAVYOFUATA DHANA YA MADIRISHA.

Mwenye Mungu ni Mkarimu Hutenda kwa wakati wake . KUTANA NA ENG. LILIAN MWANGOKA MSTAAFU WA TCRA ALIYEAMUA KUSIMAMIA WANAWAKE NA VIWANDA KUPITIA USHIRIKA WA VIWANDA VYA MADIRISHA. Eng. Lilian Mwangoka ni mstaafu wa TCRA ambaye ametumikia eneo lake la kazi kwa muda mrefu  kwa zaidi ya  miaka 30 ambaye amelitumikia Tiafa kwa upendo uliotukuka …

KUTANA NA ENG. LILIAN MWANGOKA MSTAAFU WA TCRA ALIYEAMUA KUSIMIMA WANAWAKE WA VIWANDA VYA USHIRIKA KUPITIA USHIRIKA WA VIWANDA VYA WANAWAKE VYA VINAVYOFUATA DHANA YA MADIRISHA. Read More »

KUTOKA KUFANYA KAZI NBC BANK HADI KUWA KATIBU WA UWT KATA – KATA YA BUNJU. Mjue Mercy Mukama.

 KUTOKA KUFANYA KAZI NBC BANk HADI KUWA KATIBU WA TAWI WA UWT KATA – KATA YA BUNJU. Mercy Mgole Mukama ni mwanamke wa Makamu ambaye namtumia leo kama kelelezo cha kujenga wasichana wanaojitafuta. Kila kazi unayoifanya iheshimu. Kwani uzoefu wako wa kwanza unaweza kukupa miguu mingine ya kupambana na maisha haya ya kilasiku.  Mercy Mukama …

KUTOKA KUFANYA KAZI NBC BANK HADI KUWA KATIBU WA UWT KATA – KATA YA BUNJU. Mjue Mercy Mukama. Read More »

MPANGO MAALUM WA KUCHANGIA KIWANDA CHA UACHAKATAJI WA KARATASI ZILIZOTUMIKA. BI. BELTA KAZIMOTO ANAKARAIBISHA WADAU KUMUUNGA MKONO

MPANGO MAALUM WA KUCHANGIA KIWANDA CHA UACHAKATAJIWA KARATASI ZILIZOTUMIKA. BELTA KAZIMOTO ANAKARAIBISHA WADAU Vijana wengi wanatafuta ajira. Vijana wengi wanajitafuta Vijana wenye hadhi ya Belta  ndio watakaushinda matikisiko wa AJIRA AJIRA HUTENGENEZWA! KIJANA amka na kajitengenenzee ajira yako Ishi ndoto zako! Belta  Kazimoto ni binti aliyeamua kuzitafatuta fursa kwenye mazingira na kujisomea  ujuzi wa elimu …

MPANGO MAALUM WA KUCHANGIA KIWANDA CHA UACHAKATAJI WA KARATASI ZILIZOTUMIKA. BI. BELTA KAZIMOTO ANAKARAIBISHA WADAU KUMUUNGA MKONO Read More »

MJUE DIWANI ANNA LUKINDO WA KATA YA MBEZI JUU- JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKA MUUZA DUKA HADI UDIWANI!

Mwenyezi Mungu ni Mkarimu amtumainiye Mwenyezi Mungu Hafi Maskini MJUE DIWANI ANNA LUKINDO WA KATA YA MBEZI JUU- JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKA MUUZA DUKA HADI UDIWANI! Diwani Anna ndio jina lake maarufu kutoka katika kata ya Mbezi Juu! Ukisikia Mhe Diwani Anna ujue ni Diwani wa Kata ya Mbezi Juu. Mbezi juu ni kata …

MJUE DIWANI ANNA LUKINDO WA KATA YA MBEZI JUU- JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKA MUUZA DUKA HADI UDIWANI! Read More »

MAMA MIA SOKO TUMAINI JIPYA KWA WANAWAKE SOKO MTANDAONI- SOKO LA KIDIGITALI

MAMA MIA SOKO – WAUNGANISHANA NGUVU NA GS1 TANZANIA KUPELEKA BIDHAA ZA WAZALISHAJI AFRIKA NA DUNIANI KIMTANDAO. Mama Mia soko ni SOKO Mtandaoni. Utauza bidhaa yoyote kidigitali. Mpango huu utamsaidia mfanyabiashara mzalishaji hasa mwanamke! Wanawake wote wazalishaji mpango  huu ni wenu Tanzania yetu ni nchi inayokuwa kwa kasi sana katika mendeleo ya uchumi wake na  …

MAMA MIA SOKO TUMAINI JIPYA KWA WANAWAKE SOKO MTANDAONI- SOKO LA KIDIGITALI Read More »

MWANA DADA EUTROPIA JAMES AFANYA MAPINDUZI KWENYE MAFUTA YA NYWELE NCHINI TANZANIA

MWANA DADA EUTROPIA JAMES AFANYA MAPINDUZI KWENYE MAFUTA YA NYWELE NCHINI TANZANIA Wanawake wa Tanzania ni Moto !!!! wanasema moto fire! Moto wa kuotea mbali kwa Mipango, Akili na Mikakati Ukimkuta mwanamke wa Kitanzania amejitambua UTAMPENDA kweli na vile  hii lugha yetu ya Kiswahili ambayo imefanya watu wawe na uwezo mkubwa  wa mawasiliano imefungua akili …

MWANA DADA EUTROPIA JAMES AFANYA MAPINDUZI KWENYE MAFUTA YA NYWELE NCHINI TANZANIA Read More »

GS1 TANZANIA BARCODES, QR CODES NA WANAWAKE

Mwenyezi Mungu ni Mkarimu sana Kila afanyalo binadamu ni Ibada GS1 TANZANIA BARCODES, QR CODES NA WANAWAKE GS1 Tanzania imaejipanga kusaidia kukuza biashara za wanawake nchi nzima. Kuanzia sasa kila mwanamke ambaye angependa kutangaza biashara zake anaweza kuwasiliana na GS1 Tanzania kwa utaratibu maalum. Mipango sasa ni kuunganisha GS1 Tanzania na dhana ya Buy Tanzania …

GS1 TANZANIA BARCODES, QR CODES NA WANAWAKE Read More »

MWANZA YASHANGAZA SHEREHE ZA MWANAMKE DUNIANI

Nimekuwa nikipokea taarifa mbalimbai za  Sherehe za wanawake kutoka mikoani, hata hivyo katika makala hii ya leo nawaletea taarifa ya mkoa wa Mwanza yaliyojiri!! Ni kweli Mwanza hawanaga kazi mbovu! Matukio niliyoletewa kama taarifa kwa mwenyekiti wa Jukwaa La Taifa yalishangaza umati wa watu waliojitokeza katika kusherekea siku ya wanawake duniani. Tafsiri ya mkusanyiko mkubwa …

MWANZA YASHANGAZA SHEREHE ZA MWANAMKE DUNIANI Read More »